BRIGHT FUTURE ONLINE ADMISSION SYSTEM |
||
MAELEKEZO YA MUHIMU NAMNA YA KUOMBA NAFASI YA MASOMO |
||
NAMNA YA KUOMBA NAFASI |
||
Unatakiwa kuandaa yafuatayo ili ujaze fomu yako kwa ukamilifu : |
||
a) Picha ndogo (passport size ) kwa ajili ya kuweka kwenye fomu | ||
b) Malipo ya fomu ya maombi Tsh 42000/= Itumwe kwenye Mpesa number. 0768 27 97 47 - MATRIDA SANGA |
||
1 - Kujisajili kama muombaji unahitaji kujaza taarifa zifuatazo | ||
i) Jina kamili la mwanafunzi analotumia shuleni | ||
ii) Jina la kutumia pamoja na password utakayotumia kuona taarifa zako. | ||
iii) Namba ya simu ambayo utatumia kwa mawasiliano ya sasa | ||
Baada ya kujaza taarifa hizo utakuwa umejisajili, na baada ya kujisajili utaingia kwenye ukurasa wa Muombaji . | ||
2 - Baada ya kuingia katika ukurasa wa muombaji utajaza taarifa zifuatazo | ||
a) Utabofya sehemu iliyoandikwa (weka picha ndogo) Upload Photo -hapa utachagua ilipo picha ya mwombaji na kuichagua na ikishaingia utaiona upande wa kushoto wa ukurasa wako. | ||
b) Baada ya kuweka picha utabofya kitufe kilichoandikwa Jaza taarifa za Mwanafunzi Baada ya kujaza taarifa zote zinazohitajika utabofya sehemu iliyoandikwa Wasilisha taarifa muhimu. | ||
d) Hatua ya mwisho utaletewa ukurasa wa kujaza taarifa za malipo uliyofanya kwa ajili ya maombi ya nafasi, utajaza nambari ya simu iliyotuma pesa, jina linalotokea kwenye namba hiyo pamoja na kiasi cha pesa ulichotuma, baada ya hapo utabofya sehemu iliyoandikwa wasilisha taarifa za malipo. | ||
Tayari umemaliza kutuma maombi, hivyo utasubiri kwa muda mfupi malipo yakithibitishwa unapewa fomu yako kisha utaipakuwa kwenye ukurasa wa muombaji, Usipoina fomu na umeshalipa piga namba 0768 27 97 47 kwa maulizo ya malipo uliyofanya. |
||
Kama umeelewa maelekezo yote Bofya hapa kuanza sasa | ||
Endapo umebadilisha kitu au fomu yako unataka kuiona baadae utatumia jina ulilotumia na password yako kuingia kwenye ukurasa wako wa muombaji kwa kubofya hapa |